Cardi B amethibitisha kufanya kazi zake bila Meneja
Staa wa Muziki Rapa duniani Cardi b amethibitisha kuwa kwasasa anafanya kazi zake bila management/Meneja yoyote.
Cardi B amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter alipokua anajibu swali la shabiki Mmoja aliyemuuliza jina la Management yake ya Sasa.Akijibu swali hilo @iamcardib alisema " SINA KABISA , Mwanasheria wangu ndio anasimamia kila kitu changu , Sina management"
0 Comments