Rais wa Tanzania Dkt John Mgufuli amempongeza Rais Mpya wa Burundi Ndg.Evariste Ndayishimiye kwa kuchaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo.
Magufuli ameandika katika ukrasa wake wa Twitter kuwa wananchi wa Burundi wameonyesha imani kubwa kwa kiongozi huyo aliye shinda nafasi ya urais katika nchi na akaongeza kwa kusema kuwa serikali ya Tanzania pamoja na wananchi wa tanzania wote anaahidi kuendeleza uhusiano mzuri katika nchi hiyo na tanzania.
Pia rasi Mgugufuli akamaliza kwa kusema kuwa anawatakia warundi wote amani na ujenzi bora wa taifa hilo.
0 Comments