Na John Walter-Babati
Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Babati katika mkoa wa Manyara,Hamisi Iddi Malinga umeagwa Leo nyumbani kwake mjini Babati kwenda mkoani Iringa kwa ajili ya kuzikwa.
Wakati wa kutoa salamu za mwisho mwili wake haukuonyeshwa.
Malinga amefariki akiwa na umri wa miaka 55.
Ameacha Mke mmoja na watoto Wanne,mmoja wa kiume na wakike watatu.
0 Comments