Waziri mkuu na Mbunge wa zamani wa Monduli Mh Edward Lowassa pamoja na mkewe Mama Regina Lowassa leo huko Monduli wamekuwa miongoni kwa wana CCM waliyomdhamini Rais John Pombe Magufuli kutetea kiti chake cha urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu baadaye Oktoba mwaka huu.Pichani Mama Regina akitoka saini fomu za udhamini mara baada ya Mh Lowassa kufanya hivyo
0 Comments