TANGAZA NASI

header ads

Corona imepungua Tanzania tusidharau dawa za kienyeji, Uchawi tu ndo mbaya- Rais Magufuli


“Corona imepungua Tanzania, tusidharau dawa za kienyeji tusidharau hata kidogo, uchawi tu ndio mbaya lakini miti yote iliumbwa na Mungu kwa ajili ya kutusaidia, nimetoa maelekezo kwa kitengo cha dawa asili kiendelezwe kwa nguvu zote na bajeti yake iongezwe”-JPM

“Watu wanapotengeza dawa za kienyeji tunasema wamepitwa na wakati, hapana wewe ndio umepitwa na wakati, tulipumbazwa kwamba tusiamini chetu tuamini chao, tubadilike, dawa za kienyeji zinaponya, hata ukiteguka mguu ukizitumia unakaa vizuri” -JPM

“Dawa za kienyeji zinafaa, kujifukiza kumesaidia sana, corona haijaisha sana ila imepungua sana, walitegemea tutakufa wengi sana na Barabarani patakuwa na maiti, wameshindwa na wakalegee kwelikweli” -JPM

Post a Comment

0 Comments