Chama
cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia kwa katibu wake mkuu John Mnyika
kimetoa wito kwa jeshi la polisi nchini kuacha kujihusisha na matukio ya
kisiasa yenye muelekeo wa kufanya propaganda.
Mnyika
ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari.
"Natoa wito wa
wazi kwa IGP na Jeshi la
kuacha kujihusisha na
matukio ya kisiasa yenye muelekeo wa kufanya propaganda hasi za kukibeba Chama
kimoja kuelekea uchaguzi Mkuu, lijikite kwenye wajibu wake kuhakikisha ulinzi
na usalama" Katibu Mkuu
Mhe
"Katika muda
muafaka
tutawaongoza wananchi
kuhusu namna gani uchaguzi huu usio na Tume Huru ya Uchaguzi, ulio na kanuni
mbovu, lakini bado tutazilinda kura kwa nguvu ya umma kuhakikisha haki
inatendeka na mabadilko yanatokea" Katibu Mkuu
"Hii kauli ya
Jeshi la
kwamba
litashughulika na watakaolinda kura kwenye Uchaguzi Mkuu, hii kauli ya Jeshi la
Polisi inatoka wiki chache baada ya vyama vya upinzani kulalamikia kanuni za
uchaguzi, na kutokuwa na uchaguzi huru"
"Kauli za Jeshi
la Polisi haziwezi kuturudisha nyuma kwenye kazi ya kuwaunganisha wananchi ,
kuwezesha mabadilko kwenye nchi yetu na Chadema kushinda uchaguzi na kuiondoa
Serikali iliyopo madarakani katika sanduku la kura" Katibu Mkuu
Mhe
0 Comments