TANGAZA NASI

header ads

Mkutano wa Mbowe na waandishi waahirishwa

 Image
 
Mkutano wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema
Mh Freeman Mbowe uliokuwa ufanyike mubashara kuzungumza na umma, hautafanyika kama ilivyopangwa baada ya Jeshi la Polisi kumhitaji akaripoti Ofisi ya RCO Kinondoni, Kituo cha Polisi Oyster bay

 Mkuu Idara ya Habari wa CHADEMA Tumaini Makene amethibitisha

Post a Comment

0 Comments