TANGAZA NASI

header ads

Mbunge anayeonyesha dalili za corona anafanyiwa vipimo ila hatutangazi - Spika Ndugai

 TMF offers to cover Bunge - The Citizen

Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, amesema kuwa Mbunge yeyote ambaye anahisi ana dalili za maambukizi ya Virusi vya Corona anafanyiwa vipimo, isipokuwa hawatangazi tu kwenye vyombo vya habari.

Spika Ndugai ameyabainisha hayo, wakati akifanya mazungumzo maalum na kuhojiwa kwamba je wanao mpango wa kuwafanyia vipimo Wabunge wote ili atakayebainika kupata maambukizi awekwe Karantini?, ambapo Spika alijibu.

"Kila Mbunge ambaye anajihisi vibaya anafanyiwa vipimo, tunachofanya hatutangazi tu" amesema Spika Ndugai.

Post a Comment

0 Comments