
Wizara ya Afya Madagascar imesema Nchi hiyo ina maambukizi ya corona 225 huku wagonjwa wa corona waliopona wakifikia 101 na hakuna kifo cha corona, kwa zaidi ya siku tatu idadi ya maambukizi haijaongezeka, jana Tanzania ilipokea msaada wa dawa za kufubaza corona kutoka Nchi hiyo.
(Muungwanablog)
0 Comments