Kampuni Tanzu ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), DIT COMPANY LIMITED imepata bodi mpya ya wakurugenzi ambayo ina wajumbe wa saba pamoja na mwenyekiti.
Leo bodi hiyo imefanya kikao chake Cha kwanza ikikiongozwa na mwenyekiti wake Prof Preksedis Ndomba ambaye pia ni Mkuu wa Taasisi.
Katibu wa bodi hiyo ni Joseph Challo (ambaye pia ni DG wa kampuni),
Wajumbe
1. Dk Pancras Bujulu
2. Dk Noel Mbonde
3. Novatus Massao
4. Deusdelity Casmir
5. Godfrey Simbeye
6. Nelson Simbeye
0 Comments