TANGAZA NASI

header ads

Tanzia:Naibu meya Morogoro afariki dunia

 

Naibu Meya Manispaa ya Morogoro, Isihack Sengo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Aprili 27, 2020 katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), meya wa manispaa hiyo, Paschal Kihanga amethibitisha.

Post a Comment

0 Comments