Hospitali
ya Taifa Muhimbili, imefunga mashine tatu za kusafisha damu katika
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana zenye thamani ya Shilingi Milioni 210. Taarifa
hiyo imetolewa leo Aprili 26, 2020 na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano
ya Umma wa Hospitali hiyo, Aminiel Aligaesha na kuongeza kuwa, Hospitali
hiyo pia inatarajia kufunga mashine moja ya kumsaidia mgonjwa kupumua
kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa waliopata maambukizi hayo.
0 Comments