Wakili wa Kujitegemea, Fatma Karume, amesema Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aliwaambia Watanzania  wataalam  wameeleza virusi vya Corona havisambai kwa njia ya hewa.

“Alivyokuwa anasema haya maneno WHO walikuwa wanasema mtu aliyeathirika akikohoa anaweza kuambukizwa ukivuta pumzi ukaingiza virusi nyaka,”ameandika Fatma Karume

Fatma ameandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa twitter amesema ni muhimu ukae mita 1 kutoka muathirika.