Kufuatia hamasa kubwa ya michezo inayoendelea mkoani mbeya Bank ya NMB ime mwaga vifaa vya michezo kwaajili ya kumuunga mkono RC Homera ambaye alianzisha mashindano ya kusaka vipaji “Mbeya super Cup 2021 na Mbeya Pre season Cocoa Cup 2021 kwaajili ya maandalizi ya msimu ujao wa ligi kuu kwa timu za Mbeya na mikoa jirani
Bank ya NMB kupitia Meneja wa kanda, Straton Chilongola akimwakilisha mkurugenzi mkuu wa Bank hiyo Bi. Ruth Zaipuna amempongeza Mkuu wa mkoa wa mbeya kwa kuwa mbunifu katika michezo na kuahidi kiendelea kuchangia shughuli za michezo mkoani humo.
0 Comments