Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa ametoa utaratibu mpya wa Kuaga Mwili wa Mpendwa wetu Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa wakazi wa Dodoma Leo.
Mh. Majaliwa amesema kwamba kutokana na idadi ya Watu kuwa kubwa sana, Mwili wa Hayati Magufuli utazungushwa mara mbili kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma, na kisha kupitishwa katika mitaa mikubwa ya Jijini Dodoma ili kutoa nafasi kwa kila mtu kutoa heshima za mwisho .
0 Comments