TANGAZA NASI

header ads

Lulu afunguka bifu lake na Wema "sikupenda alichokifanya"

 


Mwigizaji Elizabeth Michael a.k.a Lulu ambae time hii amefunguka mbele ya waandishi wa habari kuhusu ishu yake na Mwigizaji Wema Sepetu kutoelewana, hii imetokea baada ya kusambaa kwa mahojiano yaliyofanywa na Wema akimuuliza maswali Mama Kanumba juu ya kifo cha Mwanae.

Baada ya kufanya alichofanya na sijawahi kuonana nae wala kuongea nae, nakubali ndio nimemu unfollow mimi sio mtu mnafiki ni maamuzi yangu, kama yeye anahisi anahatia ni yeye lakini kwa upande wangu sikupenda alichokifanya’- Elizabeth Michael

‘Na Kwasasa nilivyokuwa na kazi zangu sijatafuta muda wa kuongea nae kabisa na wala sio kiki na wala sijatengeneza na mlivyoona ni hivyo hivyo’– Elizabeth Michael

Post a Comment

0 Comments