Serikali ya Tanzania imekanusha madai ya vitisho ambayo yamekuwa yakitolewa na baadhi ya viongozi wa Upinzani nchini.
Msemaji wa Serikali Dk. Hassan Abbas amesema leo Jumanne Novemba 10, kuwa ni muhimu kwa kiongozi yeyote ambaye alikuwa ametishiwa kuwasilisha malalamishi yake kwa vyombo vya usalama.
0 Comments