Kamati ya Maadili ya Kitaifa ya NEC leo imetengua uamuzi wa kamati ya maadili Jimbo la Kinondoni iliyomfungia kufanya kampeni mgombea ubunge wa Jimbo hilo, Saed Kubenea wa ACT-Wazalendo siku saba kuanzia 21-27 Oktoba akituhumiwa kutoa lugha zisizotakiwa dhidi ya mgombea wa CCM.


0 Comments