Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi ameagiza viwanja vyote vya maonyesho ya kilimo nchini maarufu kwa jina la Nanenane vipimwe na kupewa hatimiliki ili wahusika waanze kuvilipia kodi ya pango la ardhi serikalini.