Waziri wa Uchukuzi Kenya James Macharia amesema anga la Kenya limefunguliwa leo baada ya kufungwa kwa zaidi ya miezi 3 kupisha corona. Machari amesema “hatujazuia Ndege za TZ ni mambo madogo tu, kabla ya siku haijaisha Watanzania watakuja Kenya na tunaamini wataturuhusu kwenda kwao”
0 Comments