Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekifungia kituo cha Kwanza Online TV kwa muda wa miezi kumi na moja (11) baada ya kusikiliza shauri la ukiukaji wa kanuni za utangazaji kufuatia taarifa iliyochapishwa katika ukurasa wake wa Instagram
0 Comments