TANGAZA NASI

header ads

Silinde aikacha Momba Magharibi atimkia Tunduma


Aliyekuwa mbunge wa Momba kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), David Silinde amechukua fomu ya kugombea ubunge Tunduma Mkoa wa Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Silinde amechukua fomu hizo leo Jumanne tarehe 14 Julai 2020. Hadi mchana, wagombea 16 walikuwa wamekwisha chukua fomu kuwania nafasi hiyo.

Jimbo la Tunduma lilikuwa linaongozwa na Mbunge wa Frank Mwakajoka wa Chadema.

Post a Comment

0 Comments