TANGAZA NASI

header ads

Rais Magufuli ateua mkuu wa mkoa mwingine Njombe,ambadili Ole Sendeka



Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt,John Pombe Magufuli amemteua Dkt,Jumanne Fhika kuwa mkuu wa mkoa wa Njombe.

Kabla ya Uteuzi huo Dkt,Fhika alikuwa Ofisi ya Rais,na anachukuwa nafasi ya Be,Christopher Ole Sendeka


Post a Comment

0 Comments