TANGAZA NASI

header ads

TANGAZO:NAFASI YA KAZI YA UUZAJI WA UJI LISHE NJOMBE


TANGAZO! TANGAZO!TANGAZO

Tunahitajika msaidizi mmoja jinsia ya KIKE kwa ajili ya kazi ya Ujasiriamali (Uuzaji wa uji wa lishe) Tunapatikana Mji mwema halmashauri ya mji wa Njombe.

>Anayehitaji nafasi ya kazi awe anaishi kwake/anajitegeme

>MUDA WA KAZI
06:00-10:00 Asubuhi
16:00-19:00Jioni
Lakini mchana ni ratiba binafsi

>Mshahara wa mfanya kazi ni Shilingi elfu tisini 90,000/= kwa mwezi.

SIFA ZA ZIADA KWA MWOMBAJI

>Awe na umri wa miaka 18 -25

>Awe mchapa kazi na mwenye nidhamu ya kazi.

>Apende kufanya kazi bila kusimamiwa.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/06/2020

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa  Simu No: 0787 323224

Email:  kavgrac@gmail.com

S.L.P  14 650 Njombe

NB:Kifungua kinywa,chakula cha mchana na chakula cha jioni vitapatikana endapo mfanyakazi atahitaji bila kuathiri malipo yake.

Post a Comment

0 Comments