TANGAZO! TANGAZO!TANGAZO
Tunahitajika msaidizi mmoja jinsia ya KIKE kwa ajili ya kazi ya Ujasiriamali (Uuzaji wa uji wa lishe) Tunapatikana Mji mwema halmashauri ya mji wa Njombe.
>Anayehitaji nafasi ya kazi awe anaishi kwake/anajitegeme
>MUDA WA KAZI
06:00-10:00 Asubuhi
16:00-19:00Jioni
Lakini mchana ni ratiba binafsi
>Mshahara wa mfanya kazi ni Shilingi elfu tisini 90,000/= kwa mwezi.
SIFA ZA ZIADA KWA MWOMBAJI
>Awe na umri wa miaka 18 -25
>Awe mchapa kazi na mwenye nidhamu ya kazi.
>Apende kufanya kazi bila kusimamiwa.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/06/2020
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa Simu No: 0787 323224
Email: kavgrac@gmail.com
S.L.P 14 650 Njombe
NB:Kifungua kinywa,chakula cha mchana na chakula cha jioni vitapatikana endapo mfanyakazi atahitaji bila kuathiri malipo yake.
0 Comments