TANGAZA NASI

header ads

Mwanamke wa kwanza ajitosa Urais Zanzibar



Mwantumu Mussa Sultani mgombea wa kwanza Mwanamke amejitokeza na kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar.

Mwantum Mussa Sultan anakuwa mgombea wa Kumi na moja (11) kujitokeza kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM.

Post a Comment

0 Comments