Mzee Hassan Mtipa mwenye umri wa miaka 67, mkazi wa kijiji cha Namayanga mkoani Mtwara, ameuawa kwa kukatwa na panga na kijana aitwaye Mukhsin Selemani (24) na kisha kuiba kuku.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara ACP-Mark Njera, amesema mtuhumiwa wa mauaji hayo amekamatwa na anaendelea kushikiliwa na jeshi la Polisi, na kwamba muda wowote atafikishwa mahakamani.
0 Comments