TANGAZA NASI

header ads

Bendera yapepea nusu mringoti Kenya kuomboleza kifo cha Rais Nkurunzinza


Rais Uhuru Kenyatta ameagiza bendera ya Kenya na ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kupeperushwa nusu mlingoti kwa heshima ya Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kuanzia leo Juni 13 hadi siku ya mazishi

Rais Nkurunziza alifariki Juni 9 katika hospitali ya Karusi Fiftieth Anniversary baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo Juni 8

Serikali ya #Burundi imetangaza maombolezo ya siku 7, na bendera yao itapepea nusu mlingoti kwa siku zote hizo

Post a Comment

0 Comments