TANGAZA NASI

header ads

Rais Magufuli:"MAABARA YA TAIFA, WAMEPIMA PAPAI, MBUZI WAMESEMA WANA CORONA"


Rais, Dkt John Magufuli amemtaka Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba kufanya uchunguzi katika maabara ya taifa ili kugundua kama kuna uzembe au makosa ya jinai katika utoaji majibu ya vipimo vya Corona.

Rais Magufuli ameeleza kuwa Serikali ilipeleka sampuli kadhaa za Wanyama, ndege, Oil ya gari ya kuvipa majina ya watu ili kujiridhisha na ubora wa maabara lakini majibu yalipokuja yalionesha Papai liko “Positive, ndege kware yuko “Positive”, Mbuzi yuko “Positive” .
.
“Kama tunapeleka sampuli za wanyama zikakutwa “Positive” inawezekana wafanyakazi wetu wa maabara wanatumika na Mabeberu, kwa hili lililotokea lazima kuna watu wameambiwa wana corona wakati hawana”

Post a Comment

0 Comments