Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Poul Makonda ameonyesha kusikitishwa na msiba wa aliyekuwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania John Joseph Pombe Magufuli na kusema kuwa bado anaamini amelala na ajafal
Makonda ameonyesha isia hizi kupitia ukurasa wake wa instagramu na kuandika kuwa "Pamoja na kukuona jana bado moyo wangu unaamini umelala hujafa. Rafiki , kaka na Kiongozi wangu utakapo amka usingizi kuna jambo nitakwambia."


0 Comments