Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuzingatia mamlaka iliyopewa leo Jumatano Oktoba 21, 2020 imeongeza muda wa siku mbili wa kuapisha mawakala wa vyama siasa hadi Oktoba 23, amesema Dk Wilson Mahera.
#NjombePressUpdates

0 Comments