Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro kupitia NCCR-Mageuzi, James Mbatia amesimamishwa kufanya kampeni kwa siku saba kuanzia Oktoba 17 hadi Oktoba 23, 2020 kwa kosa la kutumia kipeperushi ambacho hakijaidhinishwa na msimamizi wa uchaguzi.
0 Comments