TANGAZA NASI

header ads

Tanzania:Visa vya COVID-19 vyafika 32,vifo vitatu


Wizara ya afya,maendeleo ya jamii, jinsia,wazee na watoto imetangaza uwepo wa wagonjwa watano wapya wa #COVID-19 ambao wote ni wakazi wa Dar es salaam na kufanya idadi ya wagonjwa kufika 32.
katika taarifa hiyo Wizara imetangaza vifo viwili vya wagonjwa wawili, jumla kufikia 3.



Post a Comment

0 Comments